TRA Project

ABOUT


Pata nafasi ya kazi ya kuwa salesrep kwa niaba ya kampuni ya ajira iitwayo CSST, ( Career and Staffing Services Tanzania ), CSST wametangaza ajira itakayohusisha uandikishaji wa wateja wa Smart EFD kwa ajili ya kuhamisha maswala ya TRA na utumiaji wa mfumo wa kutengeneza risiti za TRA kutoka kuwa wa mashine kwenda kuwa wa simu za mkononi. Ajira hii itahitaji uwe na smartphone ambayo utaweza muelezea mteja huyu (mfano: mfanya biashara au mwenye duka) juu ya mfumo huu mpya. Mshahara wa kazi hii endelevu ni 200,000/= pamoja na usafiri. Jiandikishe au whatsapp message jina lako, CV na picha yako kwenda +255715051335 au 0757300300. Karibu.